ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨
Huyu alieonekana kwenye mazoezi ya Simba SC anaitwa Hemed Chambela, ni mtanzania aliyekuwa anakipiga huko Gulf United ya UAE.
Kwa sasa yupo Simba SC anafanya mazoezi kama sehemu ya Majaribio kuelekea Msimu ujao.Anacheza nafasi ya Ulinzi wa Kati yaani namba 4 na 5,Anatumia zaidi guu la Kulia, Kama kocha Fadlu Davids atafurahishwa na uwezo wake basi atakuwa Sehemu ya Kikosi cha Simba Msimu ujao.
Kabla ya Kwenda Uarabuni Aliwahi kupita Kwa Wana Super Nkurukumbi wa Kagera akiwa bado na Umri wa miaka 15, na sasa Hemed Chambela ana Miaka 19 ..
Kama atakuwa Vzr ataungana na Gang Z wenzake ndani ya Kikosi cha Msimbazi
N:B.Peter Simon Ndiye Wakala wa Abdulazack Hamza na Hemed Chambela