USM ALGER YAMFUTA KAZI ALIE KUA KOCHA WA TIMU HIO

ZILIZO KIKI (AFRICA) ðŸš¨ðŸ‡§ðŸ‡·

USM Alger imeamua kumfuta kazi kocha mkuu Marcos Paquetá mara moja.

Alipoteza mechi mbili mfululizo za ligi dhidi ya JS Kabylie na Saoura, pia alitolewa nje ya Kombe la Shirikisho na Constantine katika robo fainali.