ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨
Kampuni ya JAYRUTTY Investment baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na Simba SC, JAYRUTTY wao wameingia mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo Duniani Diadora.
Mkataba wa JAYRUTTY na Diadora ni kwa ajili ya kufanya production ya jezi na vifaa vyote vya Simba Sports Club.