RATIBA YA HATUA YA 16 KOMBE LA SHIRIKISHO (CRDB BANK)

Michezo ya hatua ya 16 bora ya Kombe la shirikisho la CRDB BANK. ⚽ Yanga SC vs Songea Utd ⚽ Simba SC vs BigMan ⚽ Tabora Utd vsKagera Sugar ⚽ Mashujaa FC vs Pamba Jiji ⚽ Stand Utd vs Giraffe Academy ⚽ Singida BS vs KMC FC ⚽ JKT Tanzania vs Mbeya Kwanza ⚽ Mbeya City vs Mtibwa Maoni Yako : NANI ANASONGA NA NANI ANABAKIA HAPA