ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨
Simba SC yafuzu hatua ya final CAF Confederation Cup, sasa kuwasubiri waarabu, hii ni mara ya pili baada ya kufanya hivyo mwaka 1993. Hii ni hatuna na mafanikio kwa timu hii kongwe kutoka Tanzania.
NB: Hii Wanasema WANABEBA.