SIMBA YALAMBA MABILION YA FEDHA | KICHEKO CHATAWALA

 ZILIZO KIKI 🚨

Inasemekana kua Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 20 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Taarifa kutoka ndani kabisa ya club inasema kua mkataba ulio sainiwa na kufikiwa makubaliano ni wa miaka mitano na inasemekana ni kampuni ya Kitanzania iliyo shinda uzabuni huo. Hapa natoa kongole kwa viongozi mana hii ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya soka letu.