AFRICA KUSINI IMEJALIWA VIPAJI SANA

Huyu kijana wa O.Pirate ni wa moto sana, jana kaamua mechi yao dhidi ya Wasandawena, kipaji kikubwa na kingine kutoka bondeni, hawa watu kuna namna wanatupa somo ila hatutaki kujifunza tu. Jamaa wana hazina za kutosha sana.

Relebohile Mofokeng in the league so far:
4 goals and 5 assists.