SIMBA SC vs DODOMA JIJI
Baada ya kugomea Dabi, club ya simba inarejea NBC PL kuwavaa walima zabibu ndani KMC COMPLEX kesho majira ya saa 10 jioni. Hivi hapa viingilio vya mchezo wa kesho.