MBAPE APANIA KUFIKIA REKODI ZA CR7 MADRID




Hii ni kutoka kwenye ukurasa rasmi wa mfaransa MBAPE, Ndogo kubwa kwa kijana mdogo, ni wakati sasa wa wachezaji wetu kua na matamanio na ndoto kama hizi ili kuongeza chachu na ufanisi katika utendaji wao, kila la kheri @KMbape9i

Making him proud. 🤍