HUYU HAPA MRENO BRUNO FERNANDEZ

Mwanadamu mwenye idadi kubwa ya kufunga na kutoa assist nyingi muda wote katika mashindano ya Europa. Mreno Bruno Fernandes, leo kakiwasha sana. ✋