ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨
Jioni hii tajiri Mo Dewj amekutana na Kambi ya Fei Toto ili kumshawishi nyota huyo kujiunga na Simba mwishoni mwa msimu huu.
Mo amefanya kikao na kambi ya Fei Toto jioni hii jijini Dar es salaam.
Mo ameweka ofa mpya ambayo imeipiku ile ya Yanga,ofa mpya ya Simba hii hapa👇
1. Mkataba wa miaka mitatu.
2. Sign on fee (pesa ya fei akisaini) tsh 800m.
3.Mshahara kila mwezi tsh 50m.
4.Nyumba.
5.Gari.
Lakini pia atapata Bonus kila atakapofunga na ku-assist✍️
Ikumbukwe ofa ya Yanga ilikuwa ni tsh 750m Kama sign-on fee na mshahara wa tsh 40m kwa mwezi.
Mo bado yuko mjini,chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa✍️
Dakika hii napo andika Fei bado hajasaini Simba,Yanga wala mkataba mpya na Azam ila chochote kinaweza kutokea kuanzia sasa.
Ikumbukwe kama Fei atauzwa Simba basi Yanga watanufaika na Tsh 1b kutoka Azam kama sehemu ya makubaliano yaliyowekwa✍️