ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨
Taarifa zilizo kamilika na kutoka nchini Morocco ni kuwa Klabu ya waydad Casablanca wameachana rasmi na aliekua kocha wao RULANI MUKWENA kutoka south Africa. MOHAMMED AMINE BENHACHEM atachukua nafasi hiyo kama kocha wa muda mpaka pale kocha Mpya atakapo patikana na kutangazwa.