PSG MABINGWA WA LIGI YA UFARANSA

ZILIZO KIKI (ULAYA) 🚨

Timu ya wanaume ya PSG imetangaza kuwa bingwa wa ligi ya Ufaransa (League 1) ikiwa imevuna alama 74 katika mechi 28 iliyocheza huku, ikibakiwa na mechi 6 mkononi. Huu ni ubingwa wa 13 kwa timu hiyo tangu ilipoanza kushiriki Ligi Kuu nchini humo.