ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨
Fiston Kalala Mayele ni finisher wa maana sana kwa washambuliaji wanaocheza ndani ya soka la Africa ngazi za klabu. Alipokua Yanga SC alipishana na Mamelod kwani msimu alio ondoka ndio msimu yanga alokutana na Mamelod CAF Champions League. Hata hivyo baada ya kushinda leo dthidi ya Orlando Pirates ni rasmi atavaana nao katika Final. Fiston Mayele ni striker hasa mwenye uwezo wa kunusa maeneo ya wazi na kufunga pia kucheza ndani ya box la mpinzani. Goli lake la pili leo linatoa maana halisi ya mshambuliaji hatari. Mpira unadodoka tu huyu hapa na anaweka kambani.
Fc Pyramids na Orlando wametupa nusu fainali bora yenye hadhi ya fainali.
Mayele ameipeleka Fc Pyramids fainali kwa mara ya kwanza.