AL AHLY YAACHANA NA ALIE KUA KOCHA WA TIMU HIO MARCELO KOLLER

ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨

Klabu ya Al Ahly imefikia makubaliano ya pande zote mbili kutoendelea na kocha Marcel Koller, kocha huyo baada ya kushindwa kuipeleka Ahly final ya CAF Champions League hapo jana, leo kumefikiwa makubaliano ya pande zote mbili kutoendelea na mkataba. Wakati huu Al Ahly wakijiandaa na mashindano ya Kombe la Duniani ngazi ya Vilabu.

Marcel Koller akiwa Al Ahly:
• 2x PL titles 🏆🏆
• 2x CAF Champions League 🏆🏆
• 2x Egypt Cup 🏆🏆
• 4x Egypt Super Cup 🏆🏆🏆🏆
• FIFA International Cup 🏆
• Club World Cup - Bronze Medal 🥉

NB: Mzee kafanya na kuwapa kila kitu ila bado kaliwa kichwa 😀😆😃