YANGA YAGOMEA MAJIBU YA TFF | SASA WAENDA CAS KUTAKA HAKI

ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨

Baada ya Yanga kuto ridhishwa na majibu ya TFF leo jioni, rasmi wamefungua kesi ya malalamiko kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo Duniani (CAS). Yanga hawana kabisa imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana na majibu ya barua hivyo wameamuwa kusonga mbele kudai haki yao.