YANGA WAPATA CHAKULA CHA JIONI NA WADAU WA SOKA

 ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨

Siku ya leo club kongwe Tanzania Yanga SC iliwaalika wadau mbali mbali wa soka nchini kupata iftar pamoja, miongoni nimekuwekea hapo kwenye picha. Good and beautiful event. Kongole kwa viongozi wa Yanga SC kwa kuwakutanisha wadau mbali mbali wa soka pamoja leo.