TAIFA STARS WAPAA KUWAFUATA MOROCCO SHIPI March 21, 2025 0 Comments ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨Timu ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya wenyeji Morocco utakaochezwa Machi 25, 2025.