TAIFA STARS WAPAA KUWAFUATA MOROCCO

ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨

Timu ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya wenyeji Morocco utakaochezwa Machi 25, 2025.