SIMBA WAWAKAZIA GUINEA

 ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨

Golikipa Moussa Camara bado yupo Tanzania licha ya kuitwa kwenye kikosi cha timu yake ya Taifa la Guinea. Guinea inamuhitaji kambini na tayari ilishamtumia tiketi ya ndege ya leo, Simba inawasiliana na Shirikisho la soka la nchini Guinea ili kuwaomba wamuache apate matibabu zaidi kwa kile kinacho msumbua, Simba wanona kuamuacha Camara acheze kwa nyakati hizi kunaweza kukapelea kumkosa kwenye michezo muhimu ya kombe la shirikisho CAF.