ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨
Uongozi wa club ya Simba umekubali kumuachia goli kipi wao namba 1 kujiunga na kambi ya timu yake ya Taifa, Golikipa huyo wa Simba SC Moussa Camara ameondoka alfajiri ya leo kuelekea Ivory Coast kwa ajili ya kujiunga na timu yake ya taifa na matibabu zaidi, Awali Simba waligoma kumuachia na kuiomba Guinea ili apate muda wa utibabu zaidi, ila Guinea wamewaambia Simba kua watalishughulikia swala hilo la kiafya la Camara, Guinea watacheza dhidi ya Somalia, March 22.
