SIMBA KUIPELEKA AL MASRY RWANDA

ZILIZO KIKI 🚨

Baada ya taarifa kutoka CAF za kuufungia uwanja wa BENJAMIN MKAPA, Simba SC wanapendekeza uwanja wa Amahoro Stadium uliopo Kigali Rwanda, kama uwanja wao wa nyumbani, kwanza ni karibu na patafikika kwa urahisi na mashabiki wengi ila pia Rwanda ni sehemu ambayo bila shaka kuna mashabiki wengi wa Simba Sports Club.