RS BERKANE WASHINDA TAJI LAO LA KWANZA

ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨

RS Berkane ndio washindi wa Ligi Kuu ya 2024/25 huko Moroko baada ya mchezo wao wa usiku wa kuamkia leo kuisha kwa sare ya 1-1

Michezo 25. Pointi 60. 𝑪𝒉𝒂𝒎𝒑𝒊𝒐𝒏𝒔! 

Ni taji lao la kwanza la Ligi Kuu tangu Club hio ilipoundwa.

Hongera kwa mashabiki wote wa RSB.