AHMED ARAJIGA AULA CAF

 ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨

Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)  Pyramids FC (Misri) vs FC FAR (Morocco) utakaochezwa kwenye uwanja wa 30 June, Cairo, Misri Aprili 1, 2025.
#CAFCLCC #ahmediarajiga