KIKOSI CHA TAIFA STARS HIKI HAPA

 Kikosi cha Timu ya Taifa @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco.