HAWA HAPA VIONGOZI WETU KWA MIKA MINNE IJAYO SHIPI March 13, 2025 0 Comments ZILIZO KIKI (AFRICA) 🚨JOPO ZIMA LA UONGOZI KWA MPİRA WETU AFRIKA Hawa hapa Wajumbe wote wa Kamati ya Utendaji ya CAF, na Tanzania tumepata mjumbe mmoja Rais wa TFF & CECAFA Ndg. Wallace Karia, wakati CECAFA imepata wajumbe 3 kwa kipindi cha miaka 4 ijayo. Kongole kwa wote.