GERSON MSIGWA (MSEMAJI WA SEREKALI) AWAITA CAF BENJAMINI MKAPA

 ZILIZO KIKI ðŸš¨

“Uwanja uko tayari kwa ukaguzi wa CAF hata leo au kesho,Simba watacheza Robo fainali yao. Serikali imefanya kazi kubwa sana kwa kushirikiana na TFF & CAF, labda kama wanataka kutuhujumu” Kasema Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akiongelea uwanja wa Mkapa kufungiwa na CAF kwa pitch isio kidhi viwango.