TETESI ZA USJILI 🚨
Habari za kuaminika zina sema "Amakhosi" bado wapo kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na Azam FC, Kocha Nabi anamtaka sana Feisal kawaambia viongozi wa Kaizer Chiefs wapambane kadiri wawezavyo ili kufanikisha usajili huu.
Azam FC waliiambia Kaizer Chiefs moja kwa moja kwamba hawatakubali ada ya chini ya dollar $ 385,200 za kimarekani, ambazo ni sawa na Tshs milioni ( 999,334,432.7556) au bilioni 1 kwa Feisal Salum Abdalah (feitoto).
