FC BARCELONA WAICHAKAZA ATLETICO MADRID

 

ZILIZO KIKI (ULAYA) 🚨

FC Barcelona usiku wa kuamkia leo wamepata ushindi mkubwa dhidi ya Atletico Madrid, mpaka dakika ya 70' Barca walikua nyuma kwa magoli mawili ila baada ya dakika 90' ni Barcelona ndie alikua kidedea, kongole Barcelona na what came back yenu