TETESI ZA USAJILI 🚨
Klabu ya KAIZER CHIEFS FC wamevutiwa na kiwango cha goalkeper DJIGUI DIARRA kutoka klabu ya Yanga SC. Hivi karibuni wanapanga kuwasilisha ofa yao rasmi kwa Yanga sc ili waweze kuanza mazungumzo rasmi na mchezaji huyo. Amakhosi wamedhamiria kuirudisha timu yao kwenye hadhi yake ilio nayo kwa miaka kede kede.
NB: NAONA KAMA NABI ANAWATAKA VIJANA WAKE.
