Hiki hapa kikosi kamili cha wanajeshi wa Simba SC kinacho elekea Misri kuwavaa Al Masry April 2, huku beki kitasa wa club hio CHE FONDOH MALON kuachwa kwa uangalizi zaidi pia kipa AISHI MANULA ambae juzi alianza mazoezi na timu akiachwa kwa kukosa fitness
