ZILIZO KIKI (BONGO) 🚨
Habari za hivi punde ni kua shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF wamekifungulia kiwanya cha BENJAMINI MKAPA Dar es salam baada ya kujiridhisha kukidhi vigezo vilivyo wekwa kwa mashindano ya kimataifa. Kwenye ukaguzi uliofanyika March 20 Mwaka huu CAF wameridhia kiwanja hicho kitumike, hii ni habari nzuri kwa wana Simba SC ambao wana mchezo wa robo final baadae April 9 dhidi ya Al Masry ya nchini Misri.
