Mpaka sasa mchezaji wa Man United Mbrazil Antony tayari amelingana na rekodi yake ya kufunga alipokua Manchester United, na ameifanya katika michezo kumi tu akiwa na Real Betis! Anaonyesha kweli kuna namna club ilikosa tu imani nae, ila mwamba kawa mpya kabisa.
